Tafakari Ya Jumapili Ya Sherehe Ya Pentekoste

Dubaikhalifas.com -

Here is a listing of pictures very best that we say to and also present to you. All of us receive a lot of image nevertheless we only exhibit the actual images we consider include the greatest image.

The particular pictures should be only regarding demonstration when you just like the picture remember to purchase the first jpeg. Support the actual artist by buying the authentic cd hence the artist offers the most beneficial images and also continue operating.

Tafakari Ya Jumapili Ya Sherehe Ya Pentekoste Youtube

Tafakari Ya Jumapili Ya Sherehe Ya Pentekoste Youtube

Neno la mungu. Sherehe nyekundu zaburi: tazama sala ya siku somo 1: mdo. 2:1 11. hata ilipotimia siku ya pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi. kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao. Mafundisho haya kuhusu roho mtakifu tutaendelea kuyapata na yatafikia kilele chake katika sherehe ya pentekoste ambapo tutaadhimisha tukio la roho mtakatifu kuwashukia wafuasi na kanisa zima. tafakari hii ya siku ya leo inatualika kumtambua roho mtakatifu kama zawadi itokayo kwa baba na kwa mwana, naye anakuja katika kanisa ili kuthibisha yale. Katika sherehe ya pentekoste fumbo la pasaka hukamilika maana ni katika sikukuu hii roho mtakatifu hulishukia kanisa ili likaendeleze kazi ya kristo bila woga, likiwa na nguvu za kimungu. ni sikukuu ambayo kwayo roho mtakatifu huthibitisha muungano wetu na mungu. Ni sikukuu ya vitu “kuumbwa” upya kwa njia ya roho mtakatifu. pentekoste maana yake ni “ ya hamsini ”. ni siku ya hamsini tangu tulipo sherehekea jumapili ya pasaka, domenika ya ufufuko wa bwana wetu yesu kristo. katika sherehe hii tunaadhimisha ujio wa roho mtakatifu, tunakumbuka kuzaliwa kwa kanisa na mwanzo wa utume wa kanisa.

Tafakari Ya Jumapili Ya Sita Mwaka C Wa Kanisa Youtube

Tafakari Ya Jumapili Ya Sita Mwaka C Wa Kanisa Youtube

Katika chini ya wiki mbili, tutaadhimisha sherehe ya pentekoste. hii ni sherehe ya kila mwaka ya utimilifu wa ahadi hii ya yesu. siku hiyo tunaadhimisha ukweli kwamba roho mtakatifu amekuja na kwamba sasa tuko katika wakati wa roho mtakatifu. tafakari, leo, na katika majuma kadhaa yajayo kuhusu roho mtakatifu. Sherehe ya pentekoste inafumbata utajiri mkubwa katika maisha na utume wa kanisa. hii ni siku roho mtakatifu alipowashukia mitume; mwanzo wa maisha na utume wa kanisa, changamoto na mwaliko kwa waamini walei kutoka kifua mbele kutangaza na kushuhudia furaha ya injili kwa kuyatakatifuza malimwengu kwa njia ya karama na mapaji ya roho mtakatifu. Kabla ya sala, papa hutangulia kutoa tafakari akifanya rejea kwa masomo ya siku. baadaye kunafuatia salam kwa wageni na mahujaji. kuanzia sherehe ya pasaka hadi pentekoste, badala ya sala ya malaika wa bwana, waamini husali sala ya malkia wa bwana, sala inayokumbuka ufufuko wa kristo yesu na mwishoni, husaliwa sala ya atukuzwe baba mara tatu.

Tafakari Ya Jumapili Ya 31 Mwaka B Wa Kanisa Youtube

Tafakari Ya Jumapili Ya 31 Mwaka B Wa Kanisa Youtube

Tafakari Ya Jumapili Ya Sita Ya Mwaka B Wa Kanisa Youtube

Tafakari Ya Jumapili Ya Sita Ya Mwaka B Wa Kanisa Youtube

Tafakari Ya Jumapili Ya Sherehe Ya Pentekoste: 2022

neno la mungu. neno la mungu. neno la mungu. neno la bwana. tafadhali subscribe, like, comment na share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki. jumuika nasi katika mitandao neno la mungu. karibuni sana katika channeli hii inayomilikiwa na baraza la maaskofu katoliki tanzania {tec}ikiwa ni moja ya chombo cha

Related image with tafakari ya jumapili ya sherehe ya pentekoste

Related image with tafakari ya jumapili ya sherehe ya pentekoste

Comments are closed.